Baada ya kipindi kirefu cha kusumbuliwa na utumiaji wa madawa ya kulevya, msanii Shaban Katwila 'Q Chief' sasa anaweka wazi kuwa ameachana kabisa na matumizi ya MADAWA YA KULEVYA na yuko tayari kuwapa wapenzi wake buradani.
Nini unataka kumshauri msanii huyu? TOA COMMENT YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment