AJALI MBAYA YATOKEA KOROGWE NA KUUA WATU WATATU PAPO HAPO 11:10 PM Add Comment HAZARDS Edit AJALI hii mbaya ilitokea juzi (Jumapili) katika Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga ambapo watu watatu wanadaiwa kupoteza maisha. Dereva wa gari hili lililopata ajali amelazwa katika Hospitali ya KCMC, Moshi akiendelea na matibabu.CHANZO GPL SHARE SHARE SHARE Unknown RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment