Diamond
Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square,
Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini
Nigeria.
Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini Lagos.Zoezi hilo litafanyika leo Januari 8, 2015 jijini Lagos nchini Nigeria kuanzia majira ya saa 3 usiku.
Wakali wengine watakaokuwepo kutoa burudani leo ni pamoja na P Square, Flavour, Uhuru, Fally Ipupa na wengineo.
0 comments:
Post a Comment