Unakutana
na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano
dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa
maisha (Mke).
Sasa
kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara
naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba,
mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.
Zote
hizi ni hela daah! hapo hamna hata wiki mbili. Kwa style hii aisee
mtatukosa. Sikatai kukusadia lakin isiwe too much jamani kumbuka na mimi
nina dhiki na ndugu kama wewe!
0 comments:
Post a Comment