Wadau
kadhaa wamerusha lawama kwa wahudumu wa hospital ambayo amejifungulia
Mwimbaji wa injili Flora Mbasha kwa kuvujisha picha zilizopigwa ndani ya
chumba cha kujifungulia. Jambo ambalo limezua maswali
kwa
wengi na kuendelea kuhoji baba wa mtoto huyo? Ndugu msomaji una maoni
gani juu ya hili? Wahudumu wametenda haki? Wanaohoji baba wa mtoto je,
wanahoja ya msingi?
0 comments:
Post a Comment