Huddah
Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni
tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa.
Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti.
Mashabiki wake hawakusita kumchana.
“Dnt you fear God?oh I like your beauty and en everything mash Allah but this idea of being naked subhanallah stop it.You are a good girl hudda you can change if you want,” aliandika Shankaroon A. Mohammed
0 comments:
Post a Comment