
Leo imetawala pia katika vyombo vya Habari, Ripota wa Clouds FM
Morogoro aliripoti tukio hilo, amesema ajali hiyo imetokea mbele kidogo
ya Morogoro ambapo mvua inaendelea kunyesha, utelezi wa Barabarani
ukafanya gari hiyo kupata ajali.
Watu saba wamefariki na wengine 18 ni majeruhi ambao walipelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu.
Kama hukuisikia taarifa hii play hapa.
0 comments:
Post a Comment