ALICHO POST ZITTO KABWE, BAADA YA RAIS KUMVUA MADARAKA WAZIRI ANNA TIBAIJUKA | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

ALICHO POST ZITTO KABWE, BAADA YA RAIS KUMVUA MADARAKA WAZIRI ANNA TIBAIJUKA



Nimemsikiliza Mhe Rais. Ninachoweza kusema ni kwamba maazimio yale hayakuwa ya Zitto Kabwe, PAC, CAG au PCCB. Yalikuwa ni maamuzi ya Bunge zima. Bunge la vyama vyote kikiwamo chama cha Rais Kikwete yaani CCM. Sisi kama Bunge tulitoa maazimio yale kwa maridhiano, uzalendo na bila kutaka kumuonea mtu yeyote. Suala hili sasa naliacha kwa wananchi. Bunge limefanya kazi yake na Serikali ambayo ndiyo tulikuwa tunasubiri maamuzi yake imeamua hivyo. Wananchi wataamua wenyewe.

NAWEWE TOA MAONI YAKO HAPA CHINI USIKIKE !
 
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment