Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake

Kajala Atamani Kumlipa Wema Mil.13 Zake
Staa  mrembo  wa Bongo Movies, Kajala Masanja  kwa mara ya kwanza  ameibuka  na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake  Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.
Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala  alisema  kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.
“Huwa  nateseka  sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea  kila siku tena kwa mabaya,” alisema Kajala
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. merit casino【WG】tennis spin casino
    【tennis spin 바카라사이트 casino】,tennis spin casino,tennis spin casino,tennis spin casino,tennis 메리트카지노 spin casino,tennis spin casino,tennis spin casino,tennis spin deccasino casino

    ReplyDelete