Home
LIFE STORRIES
Showing posts with label LIFE STORRIES. Show all posts
Showing posts with label LIFE STORRIES. Show all posts
PICHA:Ufunguzi wa Duka Jipya la “Viwalo” la Nargis Mohammed
![]() |




Hapo juu ni baadhi ya picha za ufunguzi wa duka hilo lililopo Nyumbani Lounge karibu na Best Bite, jijini Dar.
Hongera sana Nargis.
Ile picha ya askari kupigana mabusu Bongo iliteka HEADLINES! iko hii mpya toka Uingereza…
Polisi wa nchi hiyo Uingereza waliamua
kumshtaki mwenzao baada ya kufanya kitendo cha kudhalilisha jeshi la
nchi la nchi hiyo kwa kufanya tendo la ndoa tena mbele za watu akiwa na
sare za kazi.
Kitendo hicho kimemfanya kufukuzwa kazi
bila kupewa taarifa za awali haraka baada ya kwenda kwenye shughuli zake
za kila siku za usalama na kufanya kitendo hicho huku akijua ni kinyume
na sheria tena akiwa amezungukwa na watu.
Msaidizi mkuu wa kituo hicho Russ Middleton alisema wanaamini hatua hiyo itakua fundisho kwa wengine kutokana na kitendo hicho cha udhalilisha.
Kwa upande mwingine polisi mwingine nchini Uruguay naye alikumbwa na mkasa unaofanana na huo baada ya kucheza na mwanamke akiwa uchi katika kituo chake cha kazi.
Picha ya askari huyo zilinaswa na
mitandano mbalimbali na kujikuta zikisambaa kwa kasi hali iliyosababisha
ashtakiwe kwa kosa hilo
MAZISHI YA BABA WA P-SQUARE KAMA SHEREHE
Acha kabisa! Mazishi
ya baba wa mastaa wa muziki wa Nigeria, mapacha Peter na Paul Okoye
wanaounda ‘Kruu’ ya P-Square, Moses Okoye aliyefariki dunia Novemba 24,
2014 yamekuwa kama sherehe, Ijumaa Wikienda limedodosa kilichojiri.
Ishu hiyo ilijiri nyumbani kwa mastaa
hao eneo la Ifitedunu, Jimbo la Anambra nchini humo Ijumaa iliyopita
ikiwa ni siku 65 tangu mzee huyo alipofariki dunia baada ya kufanyiwa
oparesheni ya goti alipodondoka kwenye ngazi nyumbani kwake maeneo hayo.
Wakina P-square wakiwa na wake zao katika msiba huo.
Tofauti na ilivyozoeleka kwamba kwenye
msiba watu huwa wanalia na kuomboleza, mazishi hayo yaliyohudhuriwa na
mastaa kibao nchini humo yalikuwa tofauti kwani watu walikuwa na nyuso
za tabasamu huku wakiserebuka na matarumbeta juu.
Ulinzi mkali ukiimarishwa katika msiba huo.
Mbali na kuonekana kuwa kama sherehe,
pia mazishi hayo yaliripotiwa kuwa ya gharama zaidi kuanzia jeneza
lililobeba mwili wa baba yao, gari ‘spesho’ lililokuwa na jina la Dady
badala ya namba za usajili na wahudhuriaji waliopiga sare nyeupe huku
wakijifotoa picha wakicheka na kutupia kwenye mitandao ya kijamii.
Mwili wa baba wa P-Square ukiwa kwenye jeneza
Pia kivutio kikubwa kilikuwa ni wake wa
mastaa hao ambao walipewa ulinzi mkali uliowekwa katika mazishi hayo
yaliyohudhuriwa kwa mualiko maalum.
Baba wa P-Square (aliyenyosha mikono) enzi za uhai wake.
Cha kushangaza, wakati mwili wa baba yao
ukiwa mochwari, jamaa hao walidaiwa kuendelea na ratiba za kimuziki
huku wakifanya shoo kama kawa jambo ambalo kwa Bongo haliwezekani.Kwa sasa mastaa hao hawana mzazi hata mmoja baada ya mama yao naye kufariki dunia mwaka 2012
JOTI wa Orijino Komedi Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi

Siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..
Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.
Bongomovies.com bado haijazithibitisha taarifa hizi.
Kama ni kweli, tunampongeza sana na kumtakia kila la kheri yeye pamoja na mwenza wake
Photos: Unbelievable PHOTOS of The Expensive Cars in Zari’s Parking Lot!!!

Going by the look of things, Zari Hassan
is by far one of the richest socialites in East Africa. Her dating and
relationship records suggest and show links with top A-class celebrities
which explains the possible root of her wealth.
Anyway, the lass who has managed to completely woo Diamond Platnumz recently shared photos of her parking lot, raising eyebrows because of the posh and exorbitant vehicles in it.
Check them out.
TATIZO LA NYAMA KUJITOKEZA NJIA YA HAJA KUBWA {HEMORRHoid}
VISABABISHI
Sasa wataalamu bado hawajawa na majibu kamili kuhusiana na tatizo hili la kutokwa na kijinyama katika maeneo ya haja kubwa husababishwa na kitu gani hasa lakini wameweza kutoa baadhi ya vitu ambavyo vinaaminika kwa kiwango kikubwa sana husababisha hali hii kujitokeza kwa mwanadamu, na vitu hivyo basi ni kama vifuatayo;
Sasa wataalamu bado hawajawa na majibu kamili kuhusiana na tatizo hili la kutokwa na kijinyama katika maeneo ya haja kubwa husababishwa na kitu gani hasa lakini wameweza kutoa baadhi ya vitu ambavyo vinaaminika kwa kiwango kikubwa sana husababisha hali hii kujitokeza kwa mwanadamu, na vitu hivyo basi ni kama vifuatayo;
Kupata choo kigumu kupita kiasi kwa
mwanadamu wataalamu wanaita constipation mara nyingi imekuwa ni chanzo
kikubwa sana cha tatizo hili la mtu kutokwa na kinyama katika maeneo ya
haja kubwa na kuna uwezekano ikawa ni bawasili ya ndani au ya nje yenye
kuonekana, kwa hiyo kama mtu anakumbwa na hali ya kupata choo kigumu
basi kunauwezekano mkubwa sana mtu huyo akasumbuliwa na tatizo hili la
bawasili.
Hali ya kuharisha sana {heavy diarrhea},
kwa mtu ambaye anapatwa na hali ya kuharisha kwa muda mrefu basi naye
pia anauwezekano mkubwa sana wa kukumbwa na tatizo hili la kutokwa na
kijinyama katika maeneo ya haja kubwa au bawasili {hemorrhoid}.
Kukosekana kwa baadhi ya vyakula, kuna
baadhi ya vyakula vinapokosekana katika mwili wa mwanadamu au
visipotumika sana kwa mtu huweza kusababisha mtu kupata choo
kigumu kupita kiasi na kama anapatwa na hali hii basi kunauwezekano mkubwa sana mtu huyo akakumbwa na tatizo la bawasili na vyakula hivyo ni mboga za majani na matunda kwa wingi ndani ya mwili.
kigumu kupita kiasi na kama anapatwa na hali hii basi kunauwezekano mkubwa sana mtu huyo akakumbwa na tatizo la bawasili na vyakula hivyo ni mboga za majani na matunda kwa wingi ndani ya mwili.
Hali ya ujauzito kwa akina mama, hii pia
imekuwa ni sababu kubwa sana inayosababisha suala zima la kutokwa na
kijinyama maeneo ya haja kubwa na hii ni kwa sababu hali ya ujauzito kwa
mama husababisha kukua au kuongezeka kwa mji wa mimba ambao hutumika
hasa kumuhifadhi mtoto na kwa sababu hii basi inaweza kusababisha
vascular structure au vijinyama katika maeneo ya haja kubwa kwa mama
kuongezeka ukubwa na hivyo basi kuwa ni tatizo,
lakini mara nyingi mwanamke
akishajifungua kunauwezekano kikapotea lakini kama kinabaki basi ni vema
kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya matibabu zaidi.Kukaa kwa muda
mrefu, hali ya kukaa kwa muda mrefu kwa mwanadamu nayo pia imekuwa ni
kisababishi kikubwa sana cha tatizo kubwa la tumbo kujaa gesi na kupata
choo kigumu kupita kiasi {constipation}.
Mara nyingi watu wanaokumbwa na shida
hii kunauwezekano mkubwa sana wa kutokwa na kinyama au bawasili, hasa
kwa wanaotumia sana vyoo vya kukaa na kufanya hivyo kwa muda mrefu.
Hali ya wanadamu kunyanyua vitu vizito kupita kiasi kwa mwanadamu na ikawa ni zoezi endelevu kwa muda basi hali hii inaweza sababisha mtu kupatwa na tatizo la kutokwa na kijinyama au bawasili.
Itaendelea wiki ijayo.
Hali ya wanadamu kunyanyua vitu vizito kupita kiasi kwa mwanadamu na ikawa ni zoezi endelevu kwa muda basi hali hii inaweza sababisha mtu kupatwa na tatizo la kutokwa na kijinyama au bawasili.
Itaendelea wiki ijayo.
MSANII WA FILAMU BONGO ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUTOMMISI MZAZI MWENZAKE
Mwigizaji wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
KAMA kawa
kama dawa, tunakutana tena katika safu yetu ya Sindano 5, kutokana na
maombi mliyonitumia wiki iliyopita tulipoianza safu hii, leo tunawaletea
mwigizaji Rose Ndauka ambaye wengi mlimpendekeza awepo katika safu hii.
Mahojiano kati yake na paparazi wetu yalikuwa hivi:
•Paparazi: Rose Ndauka mambo vipi? Siri ya urembo wako ni nini maana kuna tetesi kwamba mkorogo ndiyo unaokufanya uonekane mzuri? Rose Ndauka: Siri ya urembo wangu anaijua Mungu. Hakuna zaidi ya hapo.
•Paparazi: Rose Ndauka mambo vipi? Siri ya urembo wako ni nini maana kuna tetesi kwamba mkorogo ndiyo unaokufanya uonekane mzuri? Rose Ndauka: Siri ya urembo wangu anaijua Mungu. Hakuna zaidi ya hapo.
•Paparazi: Umeachana na mzazi mwenzio, Malick Bandawe ambaye mliishi kwa muda mrefu, nini unakimisi kutoka kwake.
Rose Ndauka: Hakuna ninachokimisi kutoka kwake. Maisha yanaendelea!
•Paparazi: Unakumbuka kiasi cha fedha ulichoanza kulipwa katika kazi yako ya kwanza? Rose Ndauka: Ndiyo nakumbuka, muvi ya kwanza nililipwa laki tatu tu.
•Paparazi: Unakumbuka kiasi cha fedha ulichoanza kulipwa katika kazi yako ya kwanza? Rose Ndauka: Ndiyo nakumbuka, muvi ya kwanza nililipwa laki tatu tu.
Rose Ndauka akiwa na mzazi mwenzake, Malick Bandawe.
•Paparazi: Msanii gani wa kiume unayemkubali sana Bongo Movies?
Rose Ndauka: Kiukweli namkubali sana Single Mtambalike ‘Richie Richie’.
•Paparazi: Wasanii wengi wanapoanza maisha huwa wanapangiwa
staa wa filamu bongo Wolper awapa makavu masinichi wote wa bongo movie
Hii ni kutokana na ule mvutano unaoendelea kuhusina na bei ya filamu za kibongo, wapo wanaosema ishuke na wengine wakitaka ibaki pale pal
Diamond na AliKiba kupandishwa jukwaa moja mwezi huu!!

Kampuni ya simu ya mkononi ya Tigo imetangaza kuandaa tamasha kubwa kabisa la muziki la aina yake lijulikanalo kama “Kiboko Yao” litakalofanyika Januari 24, mwaka huu Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni.
Akiongea leo katika mkutano wake na waandishi wa habari Meneja wa Chapa wa Tigo William Mpinga, amesema tamasha hilo litatumbuizwa na wasanii 18 wakali, linaenda sambamba na kutambulisha huduma mpya ya tiGO Music itakayowaletea wateja wao burudani ya muziki kupitia simu zao
Katika Mkutano huo na waandishi wa habari pia walikuwemo baadhi ya wasanii watakaopanda jukwaani katika tamasha la Kiboko Yao, akiwemo Diamond Platnumz, Ali Kiba, Christian Bella, Ben Pol, Mwana FA, Fid Q, Isha Mashauzi, Vanessa Mdee, Yamoto Band pamoja na bendi kongwe za Msondo na Sikind
Chuchu Hans achafua hali ya hewa instagram kwa kuonyesha hii tattoo kiunoni!!!!
jamani jamani sasa hawa wasanii ni laana au kutafuta kiki au umaarufu unawasumbua, swala la msanii kama chuchu kupiga picha kama hizi na kuruhusu zisambae si kukosa maadili huku jamani ,hata kama ndo umechora tatooo sio poa sana kuwaonyesha watu amba hawahusiki kabisa,
wasanii wa bongo badilikeni.
Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!
JINA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye
mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp
lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine
wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.
Uhusiano
kati ya Zari na Diamond umezua gumzo kila eneo Tanzania na Afrika
Mashariki huku wakifananishwa na mastaa wa nje kama vile Kanye West na
Kim Kardashian kwa namna wanavyofuatana wakati wote huku Diamond
akionesha kila aina ya mbwembwe za kumjali mrembo huyo kutoka Kampala,
Uganda.
Uhusiano
wa Zari na Diamond umewafanya kuandamana kila sehemu hivi sasa. Wawili
hao walianza kuonekana kuwa na ukaribu wa mahusiano tangu Diamond
alipokwenda Afrika Kusini kwenye Tuzo za Channel O ambapo Diamond
aliibuka na ushindi wa Tuzo tatu.
Baada
ya Tuzo hizo, Zari alimualika Diamond kushiriki katika ‘pati’ maarufu
ambayo mwanadada huyo huandaa kila mwaka nchini Uganda ambapo mwaka huu
ilijulikana kama All White Ciroc Party.
Wawili
hao baada ya sherehe hiyo, walifuatana ambapo Zari alimsindikiza
Diamond nchini Rwanda na Burundi alipokwenda kutoa burudani nchini humo,
na picha kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kuwafanya wawili hao
kuwa gumzo hivi sasa katika mitandao Tanzania na Afrika Mashariki. Je,
Zari ni nani hasa?
Zarina Hassan Tlale,maarufu kama Zari ni Mganda anayeishi Afrika Kusini. Mrembo huyo ni mwanamuziki na mfanyabiashara. Ni mwanamke aliyefanikiwa na anayependa kuishi maisha ya kifahari. Anamiliki magari ya kifahari na yenye gharama kubwa kama Lamborghini Gallardo, BMW- 2006, Chrysler-2008, Audi Q7-2010 na Ranger Rover Sports.
Zarina Hassan Tlale,maarufu kama Zari ni Mganda anayeishi Afrika Kusini. Mrembo huyo ni mwanamuziki na mfanyabiashara. Ni mwanamke aliyefanikiwa na anayependa kuishi maisha ya kifahari. Anamiliki magari ya kifahari na yenye gharama kubwa kama Lamborghini Gallardo, BMW- 2006, Chrysler-2008, Audi Q7-2010 na Ranger Rover Sports.
Mwanadada
huyo ni binti wa Halima Sultan Hassan na Nasur Hassan akiwa na asili ya
damu mchanganyiko ikiwa ni pamoja na ya Kihindi , Toro, Somalia na
Burundi kutoka mji wa Jinja, Uganda. Babu mzaa mama yake anatoka India
na bibi yake ni kutoka Uganda. Babu yake mzaa baba ni kutoka Somalia na
bibi yake mzaa baba anatoka Burundi.
Zari
maarufu kama The Bosslady aliwahi kuolewa na mwanamume anayejulikana
kwa jina la Ivan na kubarikiwa watoto watatu wa kiume Pinto, Didy na
Quincy na anamiliki kampuni tatu. Mwanadada huyu alizaliwa Septemba 23,
1980. Zari amekulia katika mji wa Jinja katika nchi ya Afrika Mashariki
inayojulikana kama Uganda.
Zari
alisoma shule ya msingi, kisha kwenda Shule ya Sekondari ya Wasichana
ya Jinja ambapo alisoma kwa bidii kutimiza ndoto zake. Baada ya kumaliza
elimu ya sekondari, mwanadada huyo alihamia katika mji mkuu wa nchi
hiyo, Kampala ambapo alikuwa akitoa burudani ya muziki katika maeneo ya
starehe kabla ya kuhamia mjini London, Uingereza na kusomea Stashahada
ya masuala ya urembo (cosmetology).
Historia
yake kimuziki inaonesha Zari alianza kuimba akiwa na umri mdogo wakati
akisoma shule ya msingi ambapo alikuwa akitoa burudani katika matamasha
ya muziki yaliyokuwa yanaandaliwa na wafanyakazi wa shule, wakati wa
hafla za mwishoni mwa mwaka na katika mashindano mengine ya jumuiya
akiwakilisha shule yake.
Ingawa
amekulia katika familia ya Kiislamu yenye wasichana sita na wavulana
wawili, Zari hakuacha mapenzi yake kwenye muziki. Alianza muziki akiwa
na umri mdogo na albamu yake ina nyimbo kali kama ‘Toloba’ na ‘Hotter
Than Them’. Watu waliomvutia katika muziki ni Wasanii wa Marekani
Arethal Franklin na Whitney Houston wakati akiwa sekondari.
Afrika
waliomvutia akapenda muziki ni wanamuziki wa Afrika Kusini Brenda
Fassie, Miriam Makeba, Lucky Dube na Malkia wa Muziki Afrika Kusini,
Yvone Chaka Chaka.
Alipojiunga na sekondari alijiunga na makundi ya dansi, drama na muziki jambo ambalo lilimsaidia kuchaguliwa kwa miaka miwili mfululizo la Muigizaji Bora.
Alipojiunga na sekondari alijiunga na makundi ya dansi, drama na muziki jambo ambalo lilimsaidia kuchaguliwa kwa miaka miwili mfululizo la Muigizaji Bora.
Baada
ya miaka miwili ya kufanya vizuri katika majukwaa na matamasha ya
shule, alipumzika na kuhama kutoka Uganda kwenda London, Uingereza na
kuendelea na masomo yake lakini bado mapenzi yake kwa muziki yakiwa
mawazoni mwake.
Zari kwa msaada wa familia, mashabiki na marafiki wa- naopenda mtindo wa muziki wake na kuamini anaweza aliamua kuchukua hatua mwaka 2007 wa kurekodi singo yake ya kwanza inayoitwa Oliwange (ikiwa na maana wewe ni wangu) .
Zari kwa msaada wa familia, mashabiki na marafiki wa- naopenda mtindo wa muziki wake na kuamini anaweza aliamua kuchukua hatua mwaka 2007 wa kurekodi singo yake ya kwanza inayoitwa Oliwange (ikiwa na maana wewe ni wangu) .
Mwaka
2008 Zari alishinda Tuzo ya Channel O ya Video Bora ya Muziki ya Msanii
Bora Afrika Mshariki. Hafla ya tuzo hizo ilifanyika Johannesburg,
Afrika Kusini. Tangu hapo Zari ameendelea kutoa nyimbo zaidi za kuvutia,
huku akitiwa moyo na mashabiki wake wakati huo.
Mwaka
2009 alipata Tuzo inayojulikana kama Diva ya mwaka katika kipengele cha
Diaspora tangu hapo aliendelea kutengeneza muziki. Zari hivi sasa
anaishi Afrika Kusini ambapo anamiliki maduka makubwa ya vipodozi na
shule ya elimu ya juu mjini Pretoria wakati akiendelea kujijenga
kimuziki.
Inaelezwa
kuwa Zari na aliyekuwa mumewe Ivan wanamiliki Shule ya Brooklyn City
ambayo ina kampasi sita Afrika Kusini, huku kila moja ikiwa na wanafunzi
kati ya 800 hadi 2,100. Wanafunzi hao hupewa vyeti vya taifa
wanapomaliza mwaka. Vile vile Zari amejenga hosteli iliyopo barabara ya
Sir Apollo Kaggwa, Kampala na anamiliki nyumba kadhaa katika mji huo
hasa eneo la Munyonyo, pamoja na duka kubwa la nguo Afrika Kusini.
Ingawa
muziki wake haujafanya vizuri kama wanamuziki wengine wa Uganda akiwemo
Jose Chameleone, Bebe Cool, Bobi Wine na Ragga Dee, Zari amekuwa
akifurahia kwa mafanikio zaidi kwenye biashara na kutokana na hilo
anasema lazima arudishe kwa jamii na hivyo kuamua kusaidia vituo na
taasisi kadhaa zinazohitaji misaada kama Katalemwa Cheshire Home, Sanyu
Babies’ Home pamoja na Gereza la Luzira.
Mfano
mwaka 2013 kutokana na moyo wake wa kusaidia, kwa kutimiza hilo baada
ya sherehe zake anazozifanya kila mwisho wa mwaka aliamua kutembelea
Kituo cha Watoto Yatima cha M-Lisada kilichopo Nsambya siku moja kabla
ya Sikukuu ya Krismasi, akifuatana na watoto wake Pinto, Didy na Quincy.
Alitoa
zawadi maalum kwa watoto hao, ambapo Zari alishiriki kuandaa chakula
cha Krismasi na kisha baadaye kutoa msaada wa vitu kama vile
taulo za wanawake, sukari, biskuti, mchele na matoke. Mbali na masuala
mengine yote, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, watu wengi nchini Uganda
wanakubaliana kuwa Zari ndio Mwanamke Mrembo zaidi nchini humo.
“Sitafuti
umaarufu, wenyewe umaarufu ndio hunifuata,” aliwahi Zari kusema kupitia
mtandao wa Red Pepper akikanusha habari za baadhi ya watu wanaodai kuwa
anatafuta umaarufu kwa nguvu.
Lulu: Mapedeshee ndiyo wanawalipa wasanii wa kike siyo filamu

ELIZABERTH Michael‘ Lulu’ amefunguka
kuwa wasanii wa kike wa filamu wana biashara nyingine iliyojificha ndani
ya ile ya filamu ambayo inawalipa zaidi.
Lulu amepasua kuwa wasanii hao
wanawategemea mapedejee kuendesha maisha yao huku wengi wakiamini kwamba
mabinti hao wa Bongo Movie wanalipwa vizuri kutokana na filamu
wanazoigiza.
“Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana
na wengi wetu kudumaa na hatuwazi kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na
wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili,” alifafanua.
“Hakuna anayefirikiria kuigiza na
wasanii wa kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa imlipe na wengi
wanawategemee mapedejee au biashara zisizo rasmi, kwani filamu
inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine
kabisa,” alisema.
Mwanaspo
WAFAHAMU WATOTO WATATU WA DEMU WAKE NA DIAMOND PLATINUMZ "ZARI" WATOTO WAZURI BALAA
Makala : Hashim Aziz na mitandao
Umaarufu
wa msanii wa muziki, mjasiriamali na mkali wa fasheni kutoka Uganda
anayeishi Afrika Kusini, Zarinah Hassan ‘Zari’ unazidi kupaa kila
kukicha, habari ya mjini kwa sasa ikiwa ni
Mfanyabiashara mkubwa wa Kiganda mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini, Ivan Ssemwanga akipozi.
Wengi
wanamjua Zari kutokana na urembo wa kipekee aliojaliwa na mkwanja wa
kufa mtu, akiwa anamiliki ndinga za bei mbaya zikiwemo Ranger Rover
Sports 2014, BMW, Black Chrysler, Audi Q7, Silver Crysler 2008, Mercedes
Benz Convertible na nyingine kibao, zote zikiwa na ‘plate number’
inayosomeka jina lake la Zari.
Hata
hivyo, ni wachache wanaojua siri ya utajiri wa mwanadada huyo ambaye
kiasili baba yake ana mchanganyiko wa Burundi na Somalia wakati mama
yake ana mchanganyiko wa Mhindi na Mganda.
IVAN SSEMWANGA NDIYO KILA KITU
Kabla
ya kuanza ‘projekti’ na Diamond, Zari alikuwa ameolewa na
mfanyabiashara mkubwa wa Kiganda mwenye makazi yake nchini Afrika
Kusini, Ivan Ssemwanga ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea
wachache kutoka Uganda, akiwa anaingiza faida ya zaidi ya shilingi za
Uganda milioni 700 kwa mwezi (zaidi ya shilingi milioni 428 za Kibongo).
MALI ANAZOMILIKI IVAN
Achana
na magari ya kifahari ambayo hayana idadi, yote yakiwa na ‘plate
number’ yenye jina la Ivan, mchizi pia anamiliki Private Jet (ndege
binafsi). Pia anamiliki utitiri wa vyuo vya Brooklyn City College,
vikiwa na jumla ya ‘campus’ sita nchini Afrika Kusini katika Majiji ya
Durban, Pretoria na Johannesburg, kila moja ikiwa na wanachuo kati ya
800 hadi 2100.
Kozi
zinazofundishwa kwenye vyuo vyake ni Information Technology (IT),
Mining (uchimbaji wa madini) na Policing (Sera za biashara) ambazo
zinapendwa na wengi Afrika Kusini, hali inayofanya apate wanachuo kibao.
Pia
jamaa anamiliki bonge moja la mjengo lililopo Sir Apollo Kaggwa Road,
Kampala pamoja na nyumba nyingine za kifahari zilizotapakaa maeneo ya
Munyonyo, Bunga, Mutungo na Mukono nchini Uganda.
Pia
jamaa anamiliki nyumba nyingine iliyopo Waterkloof Glen jijini
Pretoria, Afrika Kusini na kuwa miongoni mwa Waganda wachache
wanaomiliki nyumba nchini humo. Pia ana utitiri wa supermarkets, maduka
ya vito vya thamani na maduka ya nguo (boutique) nchini Afrika Kusini.
KUFURU YA FEDHA
Hivi
karibuni, Timu ya Taifa ya Uganda, Uganda Cranes ilikuwa na mechi dhidi
ya Timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo) ambapo jamaa alifanya kufuru
ya aina yake kwa kutoa shilingi milioni 10 za Uganda (zaidi ya shilingi
milioni 6 za Kibongo) kwa kila mchezaji na kuahidi kutoa shilingi
milioni 5 za Uganda (zaidi ya milioni 3) kwa kila atakayefunga bao.
Zarinah Hassan ‘Zari’, 'The Boss Lady' akipozi.
Kama
hiyo haitoshi, jamaa alikodi helikopta iliyombeba yeye na wapambe wake
10 aliosafiri nao kutoka Afrika Kusini na kuwalipia kila kitu kuelekea
kwenye Mji wa Namboole, Uganda kushuhudia mechi hiyo ambayo hata hivyo
Uganda haikushinda.
AMETOKEA WAPI?
Ivan
aliyezaliwa kwenye familia yenye uwezo wa kawaida, alisafiri kwenda
Afrika Kusini akitokea Uganda mwaka 2002 kwa msaada wa mpwa wake,
Kyeyune aliyekuwa akifanya biashara ya magari ya kifahari Bondeni.
Baada
ya kukaa naye kwa kipindi kifupi, Ivan naye alianza kujishughulisha na
biashara hiyo ambapo alifanikiwa kutusua kinoma. Maisha yake
yakabadilika, akaanza kuwekeza kwenye biashara nyingine nyingi mpaka
akawa bilionea. Vijana wengi wa Afrika Kusini wanamtambua kwa jina la
Shaba Wa Shaba 9 kutokana na uwezo wake wa kifedha.
ANAMPAJE JEURI YA FEDHA?
Hatimaye Huddah akiri kuwa yeye anajiuza ili maisha yake yaende!!!

Recently Huddah allegedly bought herself a new ‘Range Rover in which most people affiliated to South African Based Ugandan Businessman King Lawrence. It became apparent that the two had become too close and were dating. But what transpired today on Instagram will completely blow your mind..Huddah took shots at King Lawrence claiming he never knew him in the first place and that he was just a huge fan.

Take a look..
After all is said and done, @Kinglawrenc needs to sit down and let us see the man behind his shady ass! I don’t like to give my time to irrelevant people lakini Huyu pumbavu inabidi mtu amkomeshe! @kinglawrenc , your work is to disrespect women! Kazi yake huyu bwana, is to sleep with women and take videos then expose on the Internet! Before I go any further please can you POST the RECEIPT , or the BANK TRANSFER DOCUMENTS for the Range Rover you are telling Ugandans and EA you bought for me fool! What money do u have? Huyu pumbavu was brought to my hotel In SA by a friend coz he said he is a BIG FAN, only to realize he was looking for fame . I barely spent 2hrs with this faggot and his crew , I took pics with him like a Celeb and a fan then went back to my room , But he chose to use that ONE pic he has with me and say we are dating all over Ugandan news papers! Begging me to go to Uganda so that newspapers will believe we are dating! Can u afford me you bastard? before you talk shit about a mother like Zari , please stop posting money , post a BANK STATEMENT that’s what matters and that shows A REAL BOSS! And also Stop creating fake stories that u ELEVATE lives of East African female celebrities you dunno me , I don’t know u! We met once, for hours at a hotel lobby and that’s it! Stop looking for fame with other men’s properties , cars and wives MOTHERFUCKER grow up!

Well and to think that King Lawrence was the bad guy in this piece he responded with some powerful jabs.
Can you be frank before God and declare how much I paid you for the Nite@huddahthebosschick. I called up and we negotiated the price. You came and we did our transaction. Im on my way to the hotel to try and get footage of us going into the room at nite and the time we left in the morning. By the way Huddah, what job to u do exactly? Men like me call you up, buy you a fast class ticket, book you into a good hotel and pay you. Thats what i did Bitch. Can u refund me? Bitches take cash so I don’t have transfer proof bse i paid u cash

And He Didn’t Stop….
2nd Day – Thats the next day as you went shop and also convert the money I had paid you for a nite. You can say she looks happy and we have all changed cothes. You are bitter bse you wanted us to have a relationship and I refused. How can I be in a relationship with a girl I bought for a nite. A rejected woman is a bitter woman. Carry on with you international prostitution. Bitch likes to be paid in dollars. Any guy with money can ask me for a cell no for a Huddah One Nite Quotation.
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume ndani ya siku thelathini.
JINSI DAWA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI.
Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
i. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
ii. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.
iii. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
iv. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo.
v. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja bila kuchoka.
vi. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
i. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
ii. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.
iii. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
iv. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo.
v. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja bila kuchoka.
vi. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
vii. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
viii. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.
ix. Husaidia kutibu chango la kiume.
viii. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.
ix. Husaidia kutibu chango la kiume.
x. Inakuwa uwezo wa kukaa kifuani kwa muda mrefu
xi. Pia kurutubisha mbegu za kiume
xii.. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
JINSI YA KUIPATA DAWA : Unaweza kuja kuichukua ofisini kwetu au kwa wasio weza kufika ofisini kwetu tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo ( DELIVERY ).
KWA WATEJA WA MIKOANI : Kwa wateja wa mikoani tunawatumia dawa kwa njia ya magari na wale wa Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya meli.
KWA WATEJA WA NCHI JIRANI : Kenya, Uganda, Rwanda & Burundi tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi.
Kwa wateja wa nje ya Afrika : Kwa wateja wa nje ya Afrika tunawatumia dawa kwa njia ya posta au DHL.
Kwa wateja wa SOUTH AFRIKA NA BOTSWANA.
Kwa wateja wetu waliopo South Afrika na Botswana tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi au posta.
MAWASILIANO : Wasiliana nasi kwa simu namba 0766538384.
xii.. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
JINSI YA KUIPATA DAWA : Unaweza kuja kuichukua ofisini kwetu au kwa wasio weza kufika ofisini kwetu tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo ( DELIVERY ).
KWA WATEJA WA MIKOANI : Kwa wateja wa mikoani tunawatumia dawa kwa njia ya magari na wale wa Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya meli.
KWA WATEJA WA NCHI JIRANI : Kenya, Uganda, Rwanda & Burundi tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi.
Kwa wateja wa nje ya Afrika : Kwa wateja wa nje ya Afrika tunawatumia dawa kwa njia ya posta au DHL.
Kwa wateja wa SOUTH AFRIKA NA BOTSWANA.
Kwa wateja wetu waliopo South Afrika na Botswana tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi au posta.
MAWASILIANO : Wasiliana nasi kwa simu namba 0766538384.
Tunapatikana katika eneo la CHANGANYIKENI karibu na CHUO CHA TAKWIMU.
Kwa maelezo zaidi kuhusu tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, tembelea
Kwa maelezo zaidi tembelea kuhusu huduma zetu, tembelea : http://www.neemaherbalist. blogspot.com//
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)





