BREAKING NEWS: WAZIRI WA ARDHI ANNA TIBAIJUKA AVULIWA UWAZIRI
WAZIRI ANNA TIBAIJUKA
RAIS KIKWETE JINSI ALIVYOJIBU MAADHIMIO YA BUNGE
KUTAIFISHA MITAMBO YA IPTL
serikali imesema jambo la IPTL linawezekana lakini kwa kipindi hiki sio vizuri kwani kwasasa wawekezaji wanahitajika sana nchini kwetu... endapo tutataifisha tutakosa wawekezaji kwa utaifishaji....kwani serikali imeshaachana na sera ya ujamaa
UWAZI WA MIKATABA Serikali imekubali kupitia mikataba ya umeme
VYOMBO HUSIKA VICHUKUE HATUA STAHIKI KWA VIONGOZI Swala hili serikali wanaliachia sekta husika kufanya kazi yao ikiwemo pccb na sekretarieti ya maadili
VIONGOZI WAWAJIBISHWE Waziri wa ardhi Anna Tibaijuka avuliwa rasmi uwaziri
waziri wa nishati na madini anawekwa kiporo baada ya siku tatu atatangaza rasmi hukumu yake mara baada ya uchunguzi kukamilika.
JE UNADHANI RAIS KIKWETE AMEKATA KIU YA WATANZANIA JUU YA SAKATA HILI?
Toa comment yako hapa chini !
0 comments:
Post a Comment