Upendo
wa mama kwa mtoto wake hauwezi kufananishwa na kitu chochote hapa
duniani,kwa hili nadhani hakuna anaebisha.Ila ni ukweli pia wazazi
hutofautiana katika kuonyesha mapezi kwa watoto wao,hapa nazungumzia
mahusiano ya wazazi na watoto katika maisha ya kila siku.
Kwa
sisi watoto wa maika ya 1980+ wazazi wetu wengi walitufanya tuwaogope
na kuwaheshimu hata kwanidhamu ya woga, kitu ambacho mimi nakipinga
sana.Leo mambo ni tofauti sana, wazazi wengi wamekuwa wakijitahidi
kujenga urafiki na watoto wao na hivyo kuleta ukaribu na uwazi baina
yao, kitu ambacho ni kizuri zaidi kwa ulimwegu huu wa sayansi na
tekelinalokuijia.
Turudi kenye mada
Kama
umekuwa ni mtu kumfuatilia mwigizaji Kajala Masanja, naamini
utakubaliana na mimi kuwa Kajala na binti yake Paula, bali ya kuwa na
mahusiano ya mtu na mtoto wake lakini wanaishi kama mtu na rafiki yake.
Hiki
kitu huwa kinanikosha sana, kwani naamini hii uongeza ukaribu na
upendo baina yao,pia inatoa fursa ya mtoto kuwa muwazi kwa mzazi wake.
Mara
zote wamekuwa wakionekana kuwa pamoja kwenye hali zote, furaha nahata
udhuni.Naamini katika malezi ya namnahii hutoa nafasi kwa mzazi na mtoto
kuzungumza kwa uwazi na kushauriana katika jambo lolote.
Hongera
sana Kajala kwa kutuonyesha hili,naamini wengi watajifunza kupitia
wewe, kwangu wewe ni mama na mlezi bora zaidi kwa mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment