DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO


Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria.
Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini Lagos.
MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' leo atakinukisha katika sherehe za utoaji tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika kwa mwaka 2014.
Zoezi hilo litafanyika leo Januari 8, 2015 jijini Lagos nchini Nigeria kuanzia majira ya saa 3 usiku.
Wakali wengine watakaokuwepo kutoa burudani leo ni pamoja na P Square, Flavour, Uhuru, Fally Ipupa na wengineo.
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment