Dogo Aslay Ndani ya Penzi Zito na Naima, Naima Ajichora Tatuu ya Jina la Aslay | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Dogo Aslay Ndani ya Penzi Zito na Naima, Naima Ajichora Tatuu ya Jina la Aslay


Jamani Mahaba Kitu Kingine , Mwanzo tulijua Nuhu Mziwanda pekeake ndio mwenye ujasiri huu wa kujichora tattoo ya mpenzi wake ..lakini sasa list imeongezeka , Mrembo Naima nae avunja Ukimya , Ajichora Tattoo ya mpenzi wake Dogo Aslay .

Naima ni yule binti aliyekuwaga kwenye beef na Wema Sepetu wakimgombania CK..


Je unaushauri Gani kwa Dogo Aslay ?
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment