MASIKINI JAMANI,MSICHANA AVULIWA NGUO ZOTE ETI KISA ANADHANIWA KAIBA SIMU,HII HAIFAI HATA KIDOGO JAMANI | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

MASIKINI JAMANI,MSICHANA AVULIWA NGUO ZOTE ETI KISA ANADHANIWA KAIBA SIMU,HII HAIFAI HATA KIDOGO JAMANI

Tukio hilo lilitokea baada ya mwana mama anayedhaniwa kuwa kaiba simu kuvuliwa hadharani,kupigwa pamoja na kuaibishwa mbele za watu huku wengine wakichukuwa kamera kwa raha zao.Hii ni tabia mbaya sana kwa jamii kwa kufanya kitendo kibaya kama hicho ambacho ni kinyume cha jamiii ya kitanzania hata kama kaiba simu hebu tazama picha hapa chini utaamini nacho kisema 
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment