Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa watawala na
familia mjini Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Januari 25, 2015, alipofika
kuhani kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud
aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita. Baada ya
kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ameendelea na safariyake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Fawzia Rasheed, Mkuu wa
Sera wa Global Alliance for Vaccines and Immunization (Gavi Alliance)
alipotua mjini Berlin, Ujerumani, leo Jumatatu 26, 2015 kuungana na
viongozi mbali mbali duniani kujadili jinsi ya kuboresha mipango ya
utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi zinazoendelea. PICHA NA
IKULU
0 comments:
Post a Comment