Matangazo ya barabarani (billboards) yenye picha za wanawake waliovaa nguo za mitego huwachanganya madereva na yanaweza kusababisha ajali, utafiti umesema.
Watafiti kwenye chuo kikuu cha Alberta wamebaini kuwa matangazo yenye picha za aina hizo huathiri tabia za uendeshaji.
Utafiti huo ulionesha kuwa matangazo ya aina hiyo yana madhara
ikiwemo kuhatarisha usalama wa watu, kuongezeka kwa kugongana magari na
kusababisha foleni za magari kwenda taratibu.
Chanzo: Sunday World
0 comments:
Post a Comment