Moto
huo uliokuwa ukifukuta ndani katika maeneo hayo ya biashara
ulisababisha baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo kutaka kulishambulia gari
la zima moto la halmshauri ya jiji la Tanga kufuatia kufika katika eneo
la tukio lakini wakati linaaza zoezi hilo ghafla likaishiwa na maji
katika kipindi cha dk 3 na kuamsha hasira kwa mamia ya wananchi.
Hata
hivyo akielezea hatua hiyo kamanda wa opesheni wa kikosi cha zima moto
mkoani tanga Bwana Kumenya Bakari amekemea vikali jazba za wananchi za
kushambulia mara kwa mara gari la zima moto la halmashauri ya jiji la
tanga na kufafanua kuwa wanapofika katika eneo la tukio jambo la kwanza
wanaanza kwanaza kuokoa maisha ya watu,mali ndio kisha baadae kuzima
moto katika eneo husika.
0 comments:
Post a Comment