Heshima kwenu mabibi na mabwana.
Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.
Baadhi
ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao mara kwa mara
kunachangia kwa kiasi kikubwa wao kujiingiza katika mapenzi ya jinsia
moja,
wengine
wanadai kwamba shule za boarding zinawasababishia kujiingiza katika
mambo haya kwani muda mwingi wanakua wao wenyewe tu bila kujichanganya
na wavulana.
Nini
maoni yako wewe mwanajamvi,karibuni wakinadada muweze kutupa ukweli wa
hili jambo,wavulana pia mnaruhusiwa kuchangia chochote ili tupate mawazo
tofauti tofauti.
Asanten
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment