EX WA SHAMSA FORD AMMWAGIA SIFA EX WA NAY WA MITEGO, SIWEMA | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

EX WA SHAMSA FORD AMMWAGIA SIFA EX WA NAY WA MITEGO, SIWEMA

siwema-3












Mume wa Shamsa Ford, Dicky ametumia ukurasa wake wa Instagram kumwagia sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema. 

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya aliyekuwa mke wa Dicky, muigizaji Shamsa Ford kuonekana kwenye picha zilizosambaa mtandaoni akimbusu Nay wa Mitego!

Hivyo anachokifanya Dicky kwa sasa ni kulipiza kisasi kwa Nay aliyemchukulia mke wake!

Hizi ni picha alizoweka kwenye Instagram na kumwagia sifa Siwema.
siwema-2
siwema-1
siwema-4

SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment