AJALI YAUA WATU WAWILI HUKO NZEGA,CHANZO MWENDO KASI NA MVUA KUBWA | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

AJALI YAUA WATU WAWILI HUKO NZEGA,CHANZO MWENDO KASI NA MVUA KUBWA

 
 Gari ndogo ya binafsi ikiwa nyang'a nyang'a na kusababisha watu wawili kupoteza maisha
Tukio hilo limetokea  karibu na Ziba,ambapo tunaelezwa kuwa gari ndogo imechakazwa vibaya na inadaiwa kuwa inaelekea Burundi.
Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni pamoja na speed ya gari dogo lakini mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji na kusababisha gari ndogo kugongana na lori la miziogo.
 Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega mkoani Tabora
Taswira ya Lori la mizigo lililogongana na gari ndogo ya abiria
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment