EX WA SUGU ATINGA PAMPERS KWENYE SHEREHE YAKE YA BIRTHDAY...NISHEEDAAAAH | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

EX WA SUGU ATINGA PAMPERS KWENYE SHEREHE YAKE YA BIRTHDAY...NISHEEDAAAAH

Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr  Sugu’, Faiza Ally. 
Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya mjini Mh.Joseph Mbilinyi ‘Mr  Sugu’, Faiza Ally amefunguka kuwa, watu wasidhani kuwa yeye ni mbulula kwa uamuzi wake wa kuvaa pempasi ukumbini bali aliamua tu.
Akipiga stori na paparazi juzikati, Faiza alisema ameshangaa kuona watu wanaona ni ishu kwakwe kuvaa vazi hilo na alifanya vile makusudi kuonesha kuwa ni siku yake ya kuzaliwa na hivyo siku hiyo alikuwa kama mtoto.
Faiza Ally.
“Jamani mimi siyo Mbulula wa kuvaa vile kama baadhi walivyosema, mimi nina uamuzi wa kuvaa chochote ambacho najiskia.
“Kuvaa vile ilikuwa ni katika kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, mbona marafiki zangu hawakuona kuwa ni jambo baya?” alisema Faiza ambaye hivi karibuni alitinga kwenye Ukumbi wa Sea Cliff uliopo Masaki jijini Dar akiwa amevaa pempasi na kitop, jambo lililozua gumzo.
10832178_326102204251459_197495973_n
Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!!


10853075_757908014303125_1096924850_n
Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake!!

928865_649185835187841_1615090380_n
928970_888579861182204_855420753_n
1169188_309188889291073_360486838_n
10831715_773923179323627_1039865904_n
10832072_754313951320851_1521306534_n

10838751_397823337060628_266931116_n
10852993_622117901249305_558256097_n
>>bofya hapa mkanda mzima wa party ilivyokuwa<<
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment