Movie mpya ya kimarekani iliyotengenezwa Dar kutazamwa mwezi huu | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Movie mpya ya kimarekani iliyotengenezwa Dar kutazamwa mwezi huu

.
.
Mtu wangu wa nguvu good news ambayo nataka kukuambia ni kwamba ile movie ya kimarekani iliyotengenezwa Dar es Salaam maarufu kama Going Bongo sasa inapatikana Tanzania.
Going Bongo ni filamu ya kimarekani iliyofanyika Dar es Salaam inayomuhusu (Dr Lewis Burger) wa kimarekani katika nafasi yake imechezwa na Ernest Napolen ambaye alikuja Dar kushoot baadhi ya scene ya filamu hiyo mpya.
Kupitia instagram staa huyo aliwahabarisha followers wake kuwa imetoka na inapatikana kwenye maduka haya Shrijee supermarket-Oysterbay,City center and Slipway,Born to shine -mwenge,Fifi suga designs – Sinza
Shhhh. Usimwambie mtu. Going Bongo DVD zipo Dar maeneo haya: Shrijee supermarket-Oysterbay,city center and Slipway Born to shine -mwenge Fifi suga designs – Sinza @banye_loverance @esilovey @idrissultan @freconic_ideaz @gongaceo @the_crowned_misstanzania2014 @vanessamdee @bodilicious_jane @hamisahmobetto @chaggabarbie
A photo posted by Ernest Napoleon (@goingbongo) on
Hii ndio trailer ya filamu hiyo mpya Going Bongo iliyoshutiwa Dar es Salaam,Carlifonia na Los Angeles itazame hapa
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment