Mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’ ameibuka na kusema kuwa kitendo cha yeye kuingia kwenye maisha ya ndoa kimemsababisha sasa aonekane kama aliyezeeka kwani mambo mengi ya kisichana ameyaacha.
Mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’.
Akizungumzia
maisha anayoishi Mai alisema, zamani alikuwa ikifika wikiendi
anafikiria akajirushe wapi lakini sasa hivi imebaki historia kiasi cha
baadhi ya mashosti zake kumtania kwa kumwambia, hana nyimbo na amezeeka.
“Kama
ni suala la ndoa kunizeesha kweli imenizeesha, sasa hivi siyo yule Mai
wa kila wikiendi kwenda kula bata, wapo mashosti ambao wananiponda kwa
kubadilika kwangu lakini sijali, unajua kila jambo lina mwisho,” alisema
Mai.
0 comments:
Post a Comment