New alert: Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

New alert: Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda


Keki maalumu kwa ajili ya Shilole.
Shilole akijiandaa kukata keki pembeni ni Steve Nyerere.
Said  Fella na Faraji wakimmwagia Shilole maji na bia.
Shilole akipiga kelele baada ya kumwagiwa maji na bia.
….akiogelea.
Sehemu ilipofanyikia sherehe hiyo.
Msanii Mziwanda ambaye ni mpenzi wa Shilole akiwa na Steve Nyerere.
Shilole akiwa na wadau.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.
MWANADADA  Zuwena Mohamed ‘Shilole’  jana alidondosha bonge la pati alipokuwa  akisherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika moja ya apatiment iliyopo nyuma ya Baraka Plaza Mikocheni, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na  wasanii kama Ditto, Linah, Chegge, Mhe. Temba, Shetta, Mziwanda pamoja na wadau wengine.
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment