Chuchu Hans achafua hali ya hewa instagram kwa kuonyesha hii tattoo kiunoni!!!! | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Chuchu Hans achafua hali ya hewa instagram kwa kuonyesha hii tattoo kiunoni!!!!


jamani jamani sasa hawa wasanii ni laana au kutafuta kiki au umaarufu unawasumbua, swala la
msanii kama chuchu kupiga picha kama hizi na kuruhusu zisambae si kukosa maadili huku jamani ,hata kama ndo umechora tatooo sio poa sana kuwaonyesha watu amba hawahusiki kabisa,
wasanii wa bongo badilikeni.
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment