Huyu kaamua kumuwasha mkewe moto akiwa amelala, kisa ni chakula! | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Huyu kaamua kumuwasha mkewe moto akiwa amelala, kisa ni chakula!

Matchboc
Matuko ya kupiga na kunyanyasw wanawake bado yameendelea kuchukua nafasi katika nchi malimbali za Afrika.
Tumekuwa tukiona ripoti mbalimbali za matukio mabaya ya unyanyasaji, kutoka Kenya mwanaume mmoja amefunguliwa mashtaka baada ya jaribio la kutaka kumuua mke wake kwa madai alishindwa kumpatia chakula cha moto.
Mwanaume huyo Peter Muthii alimmwagia mkewe petrol akiwa amelala, akawasha moto na kumfungia ndani ambapo muda mfupi baadaye majirani walikuja kumwokoa na kumkimbiza hospitali.
Kisa cha tukio hilo kimetajwa kuwa ni baada ya mwanaume huyo kurudi nyumbani usiku na kumtaka mkewe kumpashia chakula lakini mkewe alimwambia apashe mwenyewe kitendo kilichomkwaza, akaamua kumlipua kwa kutumia petrol iliyokua chini ya kitanda chao
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment