MAGARI YAGONGANA NA KUPINDUKA MAKUTANO YA SHULE YA MSINGI OYSTERBAY DAR MCHANA WA LEO | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

MAGARI YAGONGANA NA KUPINDUKA MAKUTANO YA SHULE YA MSINGI OYSTERBAY DAR MCHANA WA LEO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0ocjiWr5rBPY8_oT1qx2KAbCFwAVl5hhNgisFztsgkPnTbtdbu_MBZeay5CjYtQe1_zexlQ4QtiO5rX9izBcCUguKFCUy5XyinJQZkwA2eIWu2PMT0NRHcg9LWZgp2osRMDDQe9Vp8jS6/s1600/10888652_10155040293165154_4139546440372624351_n.jpgWasamalia wema wakifanya utaratibu wa kumuokoa Dereva wa Gari aina ya Isuzu Trooper iliyopiga mweleka katika makutano ya Shule ya Msingi Oysterbay,mara baada ya kugongana na gari nyingine aina ya Toyota Vitz iliyokuwa ikitokea upande wa Coco Beach jijini Dar mchana wa leo na kupekea dereva wa Gari hii (alikuwa ni Mama mtu mzima ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja) kuumia sehemu ya kiuno na mkono.
Gari hii ilikuwa inatokea upande wa St. Peter's kuelekea Morogoro Store na Vitz ilikuwa ikitokea upande wa bahari na kuvuka ghafla barabara hiyo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguscooYCEZ-pgZDW3Sf85IZOjdRhexaaOwhN81ypMe0-JnDCT7QabJCyLDJqInMkqU7s64hUBpUd7XCBpdmOP7d0K8_UG7J1ZZARYWMl2q5xEyj2GYbYWtx-2NXBWHse4fzwHQc2zYmv9y/s1600/1505602_10155040292785154_2703405919875079041_n.jpgMashuhuda wakiwa wameizunguka gari hiyo mara baada ya kufanikiwa kumtoa Mama aliekuwa akiendesha Gari hilo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKbDWtQF0koovojox7idQ3UNY5N4VsQk6q8k-0f6XbAjrvo51iMx4gR6v12QkoMDSoY4Pxtt-A8D3npi_23OkL6iV6J4z7ZaBcqMpmRwK50MdguwXKDe1EptATW8tLzTDcrNJqo3tTszV3/s1600/10906411_10155040293730154_642835539450069019_n.jpghttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoEhqaNPmOrcOnjS0KWADw-CFu9oP-RympeswJl2ewbkg_8khiFhxxGRdukkM5__0Yf1rGUSJzIdGj_CWzt2s6srjIPk-ox5pSkebd4h7pONNc06LZRA_GL344X6j-SDqS47SiJ1gcw29i/s1600/10906451_10155040292990154_5109094717712458656_n.jpg
Huyu ndio Mama aliekuwa akiendesha Gari iliyopinduka
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment