MSANII WA FILAMU BONGO ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUTOMMISI MZAZI MWENZAKE | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

MSANII WA FILAMU BONGO ROSE NDAUKA AFUNGUKA KUTOMMISI MZAZI MWENZAKE



Mwigizaji wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
KAMA kawa kama dawa, tunakutana tena katika safu yetu ya Sindano 5, kutokana na maombi mliyonitumia wiki iliyopita tulipoianza safu hii, leo tunawaletea mwigizaji Rose Ndauka ambaye wengi mlimpendekeza awepo katika safu hii.
Mahojiano kati yake na paparazi wetu yalikuwa hivi:
    •Paparazi: Rose Ndauka mambo vipi? Siri ya urembo wako ni nini maana kuna tetesi kwamba mkorogo ndiyo unaokufanya uonekane mzuri?
Rose Ndauka: Siri ya urembo wangu anaijua Mungu. Hakuna zaidi ya hapo.
    •Paparazi: Umeachana na mzazi mwenzio, Malick Bandawe ambaye mliishi kwa muda mrefu, nini unakimisi kutoka kwake. Rose Ndauka: Hakuna ninachokimisi kutoka kwake. Maisha yanaendelea!
    •Paparazi: Unakumbuka kiasi cha fedha ulichoanza kulipwa katika kazi yako ya kwanza?
Rose Ndauka: Ndiyo nakumbuka, muvi ya kwanza nililipwa laki tatu tu.
   Rose Ndauka akiwa na mzazi mwenzake, Malick Bandawe.
    •Paparazi: Msanii gani wa kiume unayemkubali sana Bongo Movies? Rose Ndauka: Kiukweli namkubali sana Single Mtambalike ‘Richie Richie’.
    •Paparazi: Wasanii wengi wanapoanza maisha huwa wanapangiwa
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment