Mtu ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Mtu ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu



Mtu asiyejulikana amehack namba ya Tigo ya AY na kuanza kuwaomba mamilioni watu wake wa karibu.

AY ambaye kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, amesema kuwa anashangaa kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip anayo yeye na haipo kwenye simu.

Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu huyo
Kufuatia tukio hilo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziagiza mamlaka husika kufuatilia haraka jambo hilo.
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment