MWAKYEMBE AFUKUZA KAZI WATUMISHI 6 WA TRL | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

MWAKYEMBE AFUKUZA KAZI WATUMISHI 6 WA TRL

Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe amewafukuza kazi wafanyakazi 6 wa Shirika la Reli (TRL ) kwa makosa ya wizi wa fedha za umma pamoja na udanganyifu katika uuzaji wa tiketi za abiria na ameamuru wakamatwe na kufunguliwa mashitaka ya makosa ya jinai.

Nini maoni yako kuhusiana na maamuzi hayo......
TOA COMMENT YAKO HAPA CHINI

SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment