PICHA TATA ZA KAJALA ZAZUA BALAA.. MASHABIKI WAMTUPIA MANENO MAZITO...je nawewe unaneno lolote..bofya hapa | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

PICHA TATA ZA KAJALA ZAZUA BALAA.. MASHABIKI WAMTUPIA MANENO MAZITO...je nawewe unaneno lolote..bofya hapa


Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa kwani akionekana wakila denda na mwanae na wachache wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati akiwa ufukweni nasio yupo mitaani anatembea.
“Niko beach jamani siko posta natembea maana mna maneno ya chini chini humu” Kajala alisistiza.
Picha hizi alizitupia juzi, siku ya sikukuu ya  mwaka mpya. Jionee picha hizo hapo juu kiwasha tuambie umeziona vipiii

SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment