Flora Mbasha: Hizo Stori Mnazosikia Hazina Ukweli Wowote na ndio Maana Niliamua Kukaa Kimyaa | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Flora Mbasha: Hizo Stori Mnazosikia Hazina Ukweli Wowote na ndio Maana Niliamua Kukaa Kimyaa

" Hizo stori mnazosikia hazina ukweli wowote na
ndio maana niliamua kukaa kimya sikutaka
kujibizana kwenye vyombo vya habari kwa uongo
wa baadhi ya magazeti ya udaku ila ninasikitika
sana kwani kuna watu wamekaa na kujipanga
kisawa sawa kwa ajili ya kuhakikisha wanaharibu
huduma yangu kwa gharama zozote, lakini bado
ninasonga mbele kwani mwanzilishi wa huduma
yangu ni Mungu na huyo ndiye atakayeimaliza na
sio mwanadamu "
Hayo alifunguka mwimbaji wa nyimbo za injili
Flora Mbasha
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment