Kuna
ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu
zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila
siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.
“Haya
mume wangu kipenzi leo umeniletea nini” Nikamwambia leo sina kitu wife
kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo
nina bonge la zawadi yako, mi nikajua utani...!
Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji. Nilipoingia nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu ...akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako.Akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious??.
Akaniangalia tu machoni halafu akaendelea. Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. Akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala.
Sasa naona hata aibu kumwangalia shemeji yangu.
0 comments:
Post a Comment