Bodaboda Uso kwa uso na Simba Mkoani Mbeya | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Bodaboda Uso kwa uso na Simba Mkoani Mbeya

Ilitokea ghafla katika barabara ya makongolosi kuelekea Rungwa Mbeya,Ghafla kwenye kona mnyama Simba kakutwa kajipumzisha katika barabara eneo la Pori la Simba.


Wakati magari yakiwa yamesimama,mara Bodaboda akatokea na bila kujua akataka kuyapita kwa kasi ndipo alipokutana uso kwa uso na Mnyama huyo hatari,Hata hivyo aliwezaa kugeuka na kukimbia wakati na Simba naye akanyanyuka na kuingia Polini 


SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment