MHESHIMIWA WAZIRI NYALANDU NA AUNTY EZEKIEL WAPEWA ZA USO BUNGENI NA LEMA! | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

MHESHIMIWA WAZIRI NYALANDU NA AUNTY EZEKIEL WAPEWA ZA USO BUNGENI NA LEMA!

Picha : Waziri Nyalandu akiwana Aunty Ezekiel pamoja na DJ Luke (wakatikati) wakitangaza Utalii, New York, Marekani.
Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia “bomu” Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.

Lema alisema;
“Angalia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alikwenda kutangaza utalii nje ya nchi akiwa ameongozana na (mwigizaji maarufu wa filamu wa Tanzania) Anti Ezekiel,” alisema na kuongeza kuwa waziri huyo hashindi ofisini kwa kisingizio cha kutangaza utalii

SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment