Baada ya Kutemwa na Kunyang'anywa Mtoto Siwema Aendelea Kupeta, Anunua Gari Mpya Kwa hela zake Mwenyewe | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

Baada ya Kutemwa na Kunyang'anywa Mtoto Siwema Aendelea Kupeta, Anunua Gari Mpya Kwa hela zake Mwenyewe


 Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford , Siwema Ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya.....
Ameweka Picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika yafuatayo:

wemalicious:
 Thank u ZAMZAM MOTORS LTD.....kwakufanikisha hili...u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani!!!!

wemalicious :
She cheat again......# whaaaat?

SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment