TAZAMA ! Mke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

TAZAMA ! Mke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass


Tabia ya wanawake kujiuza kwa kisingizio cha kusaka fedha kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi imewatokea puani wanawake zaidi ya kumi akiwemo mke wa mtu baada ya kunaswa mawindoni na kutiwa nguvuni.

Tukio hilo la aibu lilitokea katika msako maalum wa polisi  uliofanyika katika eneo ‘korofi’ la ltinga, Msamvu Kata ya Mwembesongo mkoani  Morogoro, wikiendi iliyopita.

 

SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment