CHINA SHIPPING LINE: Meli kubwa kuliko zote Duniani ni sawa na viwanja vya Soka vinne | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

CHINA SHIPPING LINE: Meli kubwa kuliko zote Duniani ni sawa na viwanja vya Soka vinne

Meli hiyo ya mizigo ina uwezo wa kubeba makontena 19,100 na ukubwa wake ni sawa na viwanja vinne vya kuchezea mpira.

Siku chache zilizopita, meli kubwa kuliko zote duniani iliwasili nchini Uingereza na kuwa kivutio kikubwa. 


Meli hiyo imesajiliwa Hong Kong na ilitentengenezwa nchini China, ina uwezo wa kubeba tani 57,000 ambao ni uzito mkubwa zaidi unaoweza kuchukuliwa na chombo cha usafiri duniani. 

Ilisafiri kwa mwezi mzima kutoka Shanghai China hadi nchini Uingereza.
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment