Ridhiwani akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Uwanja wa Masoko mjini Chalinze
Mkazi
wa Chalinze, Bibi akitoa malalamiko yake mbele ya Mbunge Ridhiwani
Kikwete ya kudhulumiwa shamba lake na watu wasiojulikana. Mkazi
wa Chalinze Methodius Kaijage, akiuliza swali kuhusu alama za x
zilizowekwa kwenye nyumba zao kwa ajili ya upanuzi wa barabara ambazo
alidai ni takribani miaka kumi imepita bila kupewa fidia hivyo
kusababisha kukosa maendeleo. Sehemu ya wakazi wa Kata ya Bwilingu, wakiwa katika mkutano na mbunge wao mjini Chalinze.
0 comments:
Post a Comment