Meneja
wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu
masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa
Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika
katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya
kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na
Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous leo
Waziri
Nyalandu akitembela maeneo mbalimbali ya mbuga hiyo ya Selous kabla ya
kukabidhiwa vifaa hivyo ya kukabiliana na ujangili katika mbuga ya
wanyama ya Selous leo. anayemuongoza na Meneja wa mbuga hiyo
Waziri
Nyalandu akisalimiana na Ofisa Mawasiliano na Umma wa Ubalozi wa
Marekani nchini Tanzania, David Feloemann, alipowasili kwenye mbuga ya
Selous leo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza maneno ya Utangulizi kabla ya kukabidhiwa vifaa vya kukabiliana na ujangili kutoka na serikali za Marekani na Ujerumani katika hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Mrekani Mark Childress na waili kulia ni Balozi wa Ujerumani Egon Kochanke |
Balozi
wa Marekani nchini, Mark Childress akizungumza kabla ya kutiliana saini
na Nyalandu mkataba ya kukabidhiana vifaa hivyo. Kushoto ni Balozi wa
Ujerumani Egon Kochanke
Balozi
wa Marekani Mark Childress na Waziri wa Maliasili na Utalii wa
Tanzania, Lazaro Nyalandu wakitiliana saini mkataba wa Marekani kuipa
Tanzania msaada wa mafunzo yakiwemo ya kikomandoo kwa askari wa
wanyamapori na vifaa vya kisasa vya kukabiliana na ujangili katika mbuga
ya wanyamapori ya Selous leo.
Waziri
Nyalandu akibadilishana hati na Balozi wa Marekani, Mark Childress
baada ya kusaini mkataba huo. Kushoto ni Balozi wa Ujerumani Egon
Kochanke
Waziri
Nyalandu akibalidilishana hati na Balozi wa Ujerumani Tanzania Egon
Kochanke, baada ya kutiliana saini mkataba wa ujerumani kuipa Tanzania
msaada wa vifaa vya kisasa vya kukabiliana na majangili katika mbuga ya
wanyama ya Selous leo
Vifaa
mbalimbali vya kisasa vilivyotolewa na serikali za Marekani na
Ujerumani kwa ajili ya kukabiliana na majangili katika mbuga ya
wanyamapori ya Selous
Askari wa Wanyamapori Anita Albert akijaribu kionambali ambacho ni
0 comments:
Post a Comment