MBONA MNATUCHANGANYA??..ETI HUYU MTOTO NI WA GWAJIMA AU MBASHA?..CHEKI PICHA HIZI KISHA NIPE JIBU | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

MBONA MNATUCHANGANYA??..ETI HUYU MTOTO NI WA GWAJIMA AU MBASHA?..CHEKI PICHA HIZI KISHA NIPE JIBU

 
Wadau kadhaa wamerusha lawama kwa wahudumu wa hospital ambayo amejifungulia Mwimbaji wa injili Flora Mbasha kwa kuvujisha picha zilizopigwa ndani ya chumba cha kujifungulia. Jambo ambalo limezua maswali
kwa wengi na kuendelea kuhoji baba wa mtoto huyo? Ndugu msomaji una maoni gani juu ya hili? Wahudumu wametenda haki? Wanaohoji baba wa mtoto je, wanahoja ya msingi?
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment