NAHISI ZIWEZI KUENDELEA KUWA MPWEKE, NAHITAJI PENZI | HABARI MATUKIO TEKNOLOJIA NDANI NA NJE YA Tz

NAHISI ZIWEZI KUENDELEA KUWA MPWEKE, NAHITAJI PENZI

Toka niachane na boyfiend wangu ni mwaka sasa nimejitajidi kuwa mwenyewe kwa muda lakini naona sina sababu na mimi nahitaji kupendwa, nahitaji mtu wa kuwa karibu nae na kumwambia yaliyo moyoni mwangu. Nimechoka na upweke jamani.!! tatizo ni kwamba Kila atakaye nitongoza naona kama ndio wale wale tu hakuna jipya…Ila sasa nimeamua Acha number au e-mail mwenye Bahati Ntampigia tuongeee…
SHARE

Unknown

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment