Makonda
ambaye ni Katibu wa Chipukizi na Uhamasishaji wa UVCCM, jina lake
limekuwa kubwa hivi karibuni baada ya kutuhumiwa kumpiga Jaji Warioba
wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Pia, kujitokeza kwake hadharani kumpinga Edward Lowassa, kuliongeza jina hilo kuwa maarufu.

0 comments:
Post a Comment